Diamond achaguliwa kuwania tuzo za BET

hapo kwanye 'baby' sipapendi..we acha tu!!!

Mi nilijua ni jina utani mpaka alivozindua vitu kama ngua kwa kutumia hilo jina la Wassafi Classic Baby dah aisee kweli shule muhimu au ni business strategy? Baby means something else?
 
Haa ha yani hata awe anaumwa dengue lazima aende

Peny hakosoma alama za nyakati kabisa maana fursa nyingi zimempita

Angejua asingemuach ndomo angebanan na wema hvyo hvyo wangeenda wote
 
Sidhani kama kuna Mtz atampigia Davido maana kwa hili Diamond katuunganisha Watz na kila mtu anawish ashinde..hata wasiompenda they are proud of him coz dude has put TZ on the map meen!

Kama watu wanaweza kununua nyimbo za davido ili aonekane wa kisasa, atashindwaje kumpigia kura?
 
Ally Kiba sijui alitelezaga wapi hadi fursa zote zikahamia kwa Diamond.
 
Diamond asikate tamaa, tumpigie kura tu.

Najua kuna majuha wa Tanzania watampigia Davido

Jamani wanapigaje kura tuanzee kumpigiaa Domo hili ni swala kitaifa mengine tunatupa kuleeee alaaaaa hapa ndio nampokubali Diamond wallah kina Chameleone tupa kuleeee
 
ikiwezekana team wasafi waandae matangazo ktk media mmbalimbali ili kuwapa motisha hata watu wa vijijini wampigie kura Nassib!!!
 
ikiwezekana team wasafi waandae matangazo ktk media mmbalimbali ili kuwapa motisha hata watu wa vijijini wampigie kura Nassib!!!

Umeona eee ndio wafanye hivyiiioo
 
akishinda mbele ya akina Davido naruka kichurachura mwenge mpka posta
 
akishinda mbele ya akina Davido naruka kichurachura mwenge mpka posta

kwani Davido ananini cha kumzid Diamond apart from kuzaliwa Nigeria?I am telling u,mziki wa Diamond ni mkubwa kuliko wa Davido,labda ungesema Mafikizolo ningekuelewa,na hao ndo threat kubwa
 
kwani Davido ananini cha kumzid Diamond apart from kuzaliwa Nigeria?I am telling u,mziki wa Diamond ni mkubwa kuliko wa Davido,labda ungesema Mafikizolo ningekuelewa,na hao ndo threat kubwa

Shangaa Davido ana niniii
 
Mi nilijua ni jina utani mpaka alivozindua vitu kama ngua kwa kutumia hilo jina la Wassafi Classic Baby dah aisee kweli shule muhimu au ni business strategy? Baby means something else?
Acha Majungu kijana mbona kuna T-shirt kibao km makorokocho,vampire,Zombie,na majina mengi kibao ambayo hayaelewiki,Diamond kwasasa alikuwa yupo kwenye soko la ndani zaidi km akichanua zaidi ataangalia Brand name yenye kufaa zaidi kimataifa kwasasa muache apige pesa kibongo bongo.:israel:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…