Ishu za mahusiano ya wawili na malezi ya watoto wao vema kuwaachia wenyeweHii Ni kwa mujibu wa mzazi mwenzie aliezaa nae watoto 2 Zari Hassan maarufu Kama Zari the bosslady
Kupitia comment akimjibu shabiki Zari amesema amekuwa akilea watoto wake mwenyewe peke yake
Je kweli diamond platnumz pamoja na kusemekana ndio msanii tajiri zaidi Tanzania kweli kashindwa kuwapa malezi watoto wake?
Diamond amekuwa akiandamwa kwenye mitandao kufuatia sakata la baba yake
View attachment 1029860View attachment 1029861
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Like father like Son...!! Tena vile zari jeuriii.... KARMA NEVER FORGET kama Ruge leo hii anaomba misaada Aisee Mondi ajiangalie sanaa..Ishu za mahusiano ya wawili na malezi ya watoto wao vema kuwaachia wenyewe
Jr[emoji769]
Kumbe mama akiwa na uwezo hakuna haja ya babaSasa aleee nini tena hapo wakati mama anakila kitu kama hela mama anazo nini tena anataka au kulea huko mpaka wote wawepo hapo kuwabeba migongoni
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi "affection na bonding" sio vitu muhimu kwa mtoto kupata kutoka kwa mzazi wa kiume?Mama yao ni Bosslady anajiweza.
Kwani mama akiwa na hela ndo baba asiwajibikeSasa aleee nini tena hapo wakati mama anakila kitu kama hela mama anazo nini tena anataka au kulea huko mpaka wote wawepo hapo kuwabeba migongoni
Sent using Jamii Forums mobile app
Bro huyo mwanamke wala asikuumize kichwa ni attention seeker.Hivi "affection na bonding" sio vitu muhimu kwa mtoto kupata kutoka kwa mzazi wa kiume?
Sent using Jamii Forums mobile app
...NakaziaBro huyo mwanamke wala asikuumize kichwa ni attention seeker.
Sio attention Seeker maana kama maisha anayo...Mafanikio anayoo..!! Sasa attention for what.. Kacomment tu kuonesha Domo anachomfanyia baba ake sio sawa maana hata yeye Katelekeza watoto now...Bro huyo mwanamke wala asikuumize kichwa ni attention seeker.
Very true.Mashabiki wake wanafanana naye kiakili.
Ungekua umewahi kukaa na Zari hata kwa nusu saa ndio ungeelewa ni mtu wa aina gani,Sio attention Seeker maana kama maisha anayo...Mafanikio anayoo..!! Sasa attention for what.. Kacomment tu kuonesha Domo anachomfanyia baba ake sio sawa maana hata yeye Katelekeza watoto now...
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hivo vitu Ni muhimu au sio muhimu?Bro huyo mwanamke wala asikuumize kichwa ni attention seeker.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Wew ushawahi kukaa nae??? Kama unaona Zari hana mafanikio wewe ni Hater mkuu... Pambana na hali tu ilaa jua yule mwanamke Jeuri anayo sababu pesa anayoo....Ungekua umewahi kukaa na Zari hata kwa nusu saa ndio ungeelewa ni mtu wa aina gani,
again that woman ni ATTENTION SEEKER,
Halafu wabongo ndio mnampa kiburi huyu eti ana mafanikio kibao kwanini sasa kutwa yupo kwenye social media kugombana na wenye shida?