Diamond addicted to you tube viewers, will do anything to get view, copy, matusi, skendo, remix

ubarinolutu

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2012
Posts
2,424
Reaction score
4,954
Kiukweli kinachomsumbua diamond Ni hela anazolipwa na you tube , yupo radhi kufanya lolote ili tu apate viewers hata kucheza ngono akaweka you tube.
Na hii ndo sababu hasa inayomfanya siku hizi kupunguza ubunifu kwani amekuwa akitolea remix nyimbo za watu zilizohit, amekuwa akiiga na kukopy videos pamoja na bit za watu zilizohit, amekuwa kwa kiasi kikubwa akitumia lugha ya kingono yaani matusi ili aatract viewers, amekuwa anatengeneza scendo za wanawake ili apate views.
Sasa diamond ataacha kufanya haya hapo viewers wa you tube watakapopungua.

Najua mtamerge thread
 
Kaswali kwanza mkuu
 
Konde boy katika ubora wako ,kwani nyie hampemd hao viwers? Sasa mnakwama wapi kama matusi yanahela? Tukaneni muone kama mtatoboa[emoji2]

Hizo beats hakuna jipya,ana sample jay z sembuse diamond? Mnataka ubunifu kutoka Mars au? Ww team konde thread zako tunazijua...msalmie diva mkuu mana ndio anawapa kichwa mjini[emoji2]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Controversy sells

Sent from ONEPLUS 5T using Tapatalk
 
Mimi nilipofika tu pale anasema "na rungu komredi kipepe....." nikazimia mbali hata sikuangalia tena.

Na sidhani hata kama hicho kipande hapo anapoteleza na kibao (skate board) ni yeye kweli au wametumia stuntman?...maana ni kifupi na kipo fast sana.
 
😅😅 Hujamkawiza umempa za uso hapo hapo.
Hawa mameneja wa konde boy mitandaoni humu wanajiaibisha Sana.Kutwa kufungua mathread mpaka wanalamba matapishi Yao humo humo.

Ila wajue Diamond ni mma,utayanywa/kupikia/kuogea/kutawazia.
Hebu mkae na konde boy huko aendelee na type yake kina countryboy na Q.chief wapige story za al kasus na kupeana moyo tu.Level za mondi ni kubwa Sana.
 
Sio yeye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…