papytex
New Member
- Mar 23, 2022
- 2
- 1
Katika kanda ya Video iliotokea katika mtandao wa kijamii wa YouTube, diamond alitokea wazi na kuelezea ni kwanini alizungumza na mama watoto zari aka Boss Lady licha ya kuonyesha dalili ya kumtaka Nadia katika filamu inayozungumuziwa mtaani hivi sasa- Young Famous & African
Unaeza jionea mkanda huu katika video hii inayotambaa YouTube sasa hivi kwa maelezo ya ziada.
Unaeza jionea mkanda huu katika video hii inayotambaa YouTube sasa hivi kwa maelezo ya ziada.