Diamond aendelea kuwaburuza kwa kura wasanii wa Afrika Tuzo za BET

Jamani kwenye tuzo za BET na tuzo nyingine za America hua mshindi hatafuti kwa kupigiwa kura na fans. Wao huwa wanautaratibu wa kuchagua baraza la watu 500 ambao hawa watu ndo wanapiga kura kwa kuchagua mshindi. Na kwa taarifa zilizopo ni kwamba Vanessa Mdee ni mmoja wa member kwenye hiyo kamati ambapo yeye anaiwakilisha Tanzania.

Hiyo link watu wanayopigia kura ni link ya mojawapo ya kituo cha radio kilichopo US amabcho hufanya hivo kuona watu wanamchagua nani na kamati imefanyaje maamuzi. Kura zinazopigwa kupitia hiyo link haziwezi saidia chochote kwenye kumpatia Diamond ushindi wa zile tuzo kama kamati haitampa kura.

BET wana-category huwa inadhaminiwa na Coca cola ambayo huitwa COCA COLA PEOPLE'S CHOICE AWARD ambayo kwa miaka kama mitatu mfululizo tuzo inachukuliwa na Chris Brown na hii ndo category pekee inayoruhusu watu kupiga kura, na pia hii sio category ambayo Our Beloved Son Diamond yupo.

So, najua tunatamani sana kumpigia kura Diamond ashinde but kwa wakati huu kura yetu haiweze kuleta effect yeyote, cha zaidi ni kuingia kwenye maombi mazito ili ile kamati ya watu 500 iweze kumwona Diamond-Platnumz na kumpatia ushind huu.

Mungu ibariki Tanzania, Mungu mbariki Diamond-Platnumz
 
yale yaleee ya Arsenal kuongoza ligi msimu mzima kombe wakabeba Man City.
 
Nimepatwa na butwaa sana! Ina maana wasauzi hawapigi kura? Aafu tusije tukawa rumempigia kura domo aafu akaenda na vimini US

Si alivyovaa skirt alisifiwa amependeza, sasa huko aenda kavaa gauni
 
Still pipo zinabilivu ako ka kura uchwara ka blog.. Anyway tumezoea mpk tuamini kwa kuona sio kusimuliwa. Ila najua baada ya hizi tuzo wengi watalalamika kuwa tumeonewa kura lmao!
 
hiv nyie mnaomuita mwenzenu domo hamjui jina lake....embu achane dhalau .........sio kitu kizuri kuwapa majina yasiyofaa wenzetu. .

Do-more "domo" si ndo kajiandika mwenyewe IG
 
Diamond Akiweza kuimba kingereza atleast kitamsaidia ! Kupaa juu kwenye mawingu !

Lakini akiendelea hivi hivi na ''Tatu si unanielewa hapo hapo uliposhika sijui'' Ataendelea kuchukua tuzo za Kijinga (KILLING MUSIC AWARDS)
 
diamond vs davido
daimond vs mafiki zolo
yaani baba magazeti awafunike wote hawa maana bet kura hazimati sana wanaangalia zaidi
jinsi nyimbo zake zinavyobalika duniani ndio maana kuna watu kama mia tano kutoka sehe,u tofauti za dunia kuamua ushindi
sasa mbagala,kamwambie kesho ,namba one nikizilinganisha na papi churo ya davdo ,skelewu n aye
plus magoma mototo ya mafikizolo kama ile kona kona konaaaaa au ile uchiniii wane wimbo mbo sambona sijui majina lakini mtanisaidia .
Siamini kwa kweli
bado labda lugha ibadilike wapo waliangukia pua kora sababu ikawa ni lugha kama
juma nature ,prof jay, jd ,ay na fa
 
hiv nyie mnaomuita mwenzenu domo hamjui jina lake....embu achane dhalau .........sio kitu kizuri kuwapa majina yasiyofaa wenzetu. .

kawaida tu mbona mi naitwa bonge kutokana na mwili wangu mwenyewe anapenda ndio maana hajalalamika
 
Ni kweli.. Dharau kwa mtu wa kwenu dhidi ya mataifa makubwa c issue..utaifa kwanza. Pray for Diamond.
 
Kimasikhara masikhara,domo anabeba tuzo!Ohooooooo...!😉😀:|:O
 
Diamond Akiweza kuimba kingereza atleast kitamsaidia ! Kupaa juu kwenye mawingu !

Lakini akiendelea hivi hivi na ''Tatu si unanielewa hapo hapo uliposhika sijui'' Ataendelea kuchukua tuzo za Kijinga (KILLING MUSIC AWARDS)

PSY kiingereza kimemsaidia nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…