kwa maisha ya wasanii 200M ni kdgo mtu jina kubwa watu wanataka waone unamiliki Range,magorofa na mavitu makubwa kulingana na jina af waje kuskia et umepanga af unatumia uber kusafiri!!! akina Wema majina makubwa yanawatesa.Kwa maisha ya wasanii ni hela ndogo lakin kibongo bongo ni hela kubwa sana
Watumishi wa serikali wanahaso miaka 30+ kupata kiinua mgongo hyo hela
60% nadhani kwa shows, sijajua mapato ya digital platforms makubaliano yao yapo vipi..WCB ni 60%
Hili panga halichagui...hadi Taylor Swift ilimkuta akajikuta anaeudia kurecord baadhi ya nyimbo zake ili aonekane yeye ndio mmiliki kisheria.Ila ujio wa digital platforms unawalipa sana wasanii, watu wanatengeneza mamilioni ya fwedha.
Unakuta umeingiza 500M kwenye digital platforms halafu label inasema utoe 40%, hapo ndipo vijana wanaamua kuaga... hahahh
Wanatakiwa kulipa kwa sababu sio tu ukiweka kazi yako kwenye digital platforms unaingiza hizo pesa; na ndo maana kuna wengine mwezi mzima anapata Views 200K wakati mtu kama Mbosso pamoja na yote hizo 200K Views atapata within 1-day! Hiyo haikutokea tu by accident bali brand ndo inakuwezesha! Na hiyo brand haikuibuka tu from nowhere bali watu walifanya kazi na ku-invest ili iwe na uwezo wa ku-push kazi hata za kawaida!Ila ujio wa digital platforms unawalipa sana wasanii, watu wanatengeneza mamilioni ya fwedha.
Unakuta umeingiza 500M kwenye digital platforms halafu label inasema utoe 40%, hapo ndipo vijana wanaamua kuaga... hahahh
Kingine naona hawana music distributor mzuri, huyo ziiki ni janja janja tu.Ila ujio wa digital platforms unawalipa sana wasanii, watu wanatengeneza mamilioni ya fwedha.
Unakuta umeingiza 500M kwenye digital platforms halafu label inasema utoe 40%, hapo ndipo vijana wanaamua kuaga... hahahh
FREE?Free
Nani alinyang'anywaFREE?
Wanaweza wakamnyang'anya akaunti zake za mitandao ya kijamii
RichardNani alinyang'anywa