Diamond afanya mazungumzo na kula chakula cha pamoja na Mh.Membe

Diamond afanya mazungumzo na kula chakula cha pamoja na Mh.Membe

heaven on desert

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2013
Posts
1,025
Reaction score
393
Week iliyoisha diamond na team nzima ya WCB.
tulikuwa Mtwara kwa
ziara ya kimziki.
Ambapo baada ya maonyesho yake mawili(lindi&Mtwara)
alialikwa na waziri wa mambo
ya nje Mh.Membe
kwenye hotel moja mjini Lindi,ambapo walikula chakula cha pamoja na kufanya mazungumzo..
khusu mziki anaoufanya Diamond na waziri alimpongeza jinsi anavyojituma na
kuitangaza Tz
.na akaahid kumpa sapot kwa
kumtafutia showz nying za nje.
diamond yeye alisihi sana Serikali itie nguvu kwenye bongo flava.
kwenye kikao hicho walikuwepo pia
naibu waziri wa elimu,Philip mulugo
na mkuu wa mkoa lindi.
picha na habari zaid vitakuwa on
thisisdiamond.com
 
ungetuwekea na picha hapahapa bana. hiyo habari ya sijui kuingia wapi, ni kumaliziana bando tu....
 
Vipi kuhusu Penny mbona hutuelezeii,ndoa ya wema na boss wako lini
 
ungetuwekea na picha hapahapa bana. hiyo habari ya sijui kuingia wapi, ni kumaliziana bando tu....

[h=3][/h]

IMG_1682.JPG

Mheshimiwa he was like........!!!!
 
ungetuwekea na picha hapahapa bana. Hiyo habari ya sijui kuingia wapi, ni kumaliziana bando tu....
ha ha ha watanzania bwana tunavyoshughulika kwa nguvu kwa mambo yasiyo na tija kama haya yanasaidia nini? Kwanini dada usitafute vitu vya msingi? Tubadilike mabadiliko yaanza na sisi.
 
week iliyoisha diamond na team nzima ya wcb.
Tulikuwa mtwara kwa
ziara ya kimziki.
Ambapo baada ya maonyesho yake mawili(lindi&mtwara)
alialikwa na waziri wa mambo
ya nje mh.membe
kwenye hotel moja mjini lindi,ambapo walikula chakula cha pamoja na kufanya mazungumzo..
Khusu mziki anaoufanya diamond na waziri alimpongeza jinsi anavyojituma na
kuitangaza tz
.na akaahid kumpa sapot kwa
kumtafutia showz nying za nje.
Diamond yeye alisihi sana serikali itie nguvu kwenye bongo flava.
Kwenye kikao hicho walikuwepo pia
naibu waziri wa elimu,philip mulugo
na mkuu wa mkoa lindi.
Picha na habari zaid vitakuwa on
thisisdiamond.com
yanatusaidia nini?
 
ha ha ha watanzania bwana tunavyoshughulika kwa nguvu kwa mambo yasiyo na tija kama haya yanasaidia nini? Kwanini dada usitafute vitu vya msingi? Tubadilike mabadiliko yaanza na sisi.

samahani kaka(kama ni dada utanisamehe) hivi kabla ya kucomment ulijiuliza kwamba uko jukwaa linalohusu nini? Kama ningetaka mambo ya msingi nayafuata huko yanapopatikana, hapa ni jukwaa la celebrities. Achen ku crem bana. Kila jambo na wakati na mahali pake...
 
asante dada kwa jibu zuri...mimi ni kaka na nilikuwa nashauri tuu btw.. i love you
 
kakuruvi samahani mpwa izi kwny shw ss izo za hotelini vp au ndo tuende blog yao.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom