heaven on desert
JF-Expert Member
- Jan 25, 2013
- 1,025
- 393
ungetuwekea na picha hapahapa bana. hiyo habari ya sijui kuingia wapi, ni kumaliziana bando tu....
ha ha ha watanzania bwana tunavyoshughulika kwa nguvu kwa mambo yasiyo na tija kama haya yanasaidia nini? Kwanini dada usitafute vitu vya msingi? Tubadilike mabadiliko yaanza na sisi.ungetuwekea na picha hapahapa bana. Hiyo habari ya sijui kuingia wapi, ni kumaliziana bando tu....
yanatusaidia nini?week iliyoisha diamond na team nzima ya wcb.
Tulikuwa mtwara kwa
ziara ya kimziki.
Ambapo baada ya maonyesho yake mawili(lindi&mtwara)
alialikwa na waziri wa mambo
ya nje mh.membe
kwenye hotel moja mjini lindi,ambapo walikula chakula cha pamoja na kufanya mazungumzo..
Khusu mziki anaoufanya diamond na waziri alimpongeza jinsi anavyojituma na
kuitangaza tz
.na akaahid kumpa sapot kwa
kumtafutia showz nying za nje.
Diamond yeye alisihi sana serikali itie nguvu kwenye bongo flava.
Kwenye kikao hicho walikuwepo pia
naibu waziri wa elimu,philip mulugo
na mkuu wa mkoa lindi.
Picha na habari zaid vitakuwa on
thisisdiamond.com
ha ha ha watanzania bwana tunavyoshughulika kwa nguvu kwa mambo yasiyo na tija kama haya yanasaidia nini? Kwanini dada usitafute vitu vya msingi? Tubadilike mabadiliko yaanza na sisi.
samahani kaka(kama ni dada utanisamehe) hivi kabla ya kucomment ulijiuliza kwamba uko jukwaa linalohusu nini? Kama ningetaka mambo ya msingi nayafuata huko yanapopatikana, hapa ni jukwaa la celebrities. Achen ku crem bana. Kila jambo na wakati na mahali pake...
Asante Mrs Diamond domo kwa habar.....