Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,061
Hio picha inasemekana ni ya dokta ulimboka kipondi ana hali mbaya baada ya kutekwa. Watu wameshadidia ni ivan aisee watanzania tunatia aibu sana
Upo!?
Tatizo elimu!Kwamba wanaelewana na angehitaji hela ya matibabu angempa?
Binafsi ni mpenzi wa nyimbo za Diamond.
Ila kwenye kujibu maswali bado hajaweza kumudu vizuri
Nadhani anapaswa kuendelea kujifunza zaidi na zaidi kutoka kwa wenzake
niliwahi kusikiliza interview yake na Ommydimpoz kipindi kile cha kupumuliana
But to Ommy I was like waoooo! What an amazing interview
Inawezekana aisee!maana hata mimi nimeshangaa sana ivan kunenepa hiviHio picha inasemekana ni ya dokta ulimboka kipondi ana hali mbaya baada ya kutekwa. Watu wameshadidia ni ivan aisee watanzania tunatia aibu sana
Acha mawazo potofu hayo.Haya ndio matatizo ya utajiri wa masharti ya miaka saba. Wakati bata ndio zimekolea, mara mda wako nao unakuaw umeisha hivyo inabidi uage Dunia. Pole sana shem wetu wa zamani... Tamaa ya utajiri imekuponza. Sasa unakufa kijana kabla ya umri muafaka uliopangiwa na Mola!
Huyo ulomtaja nikimvutia taswir nacheka san"Inaumaaaaa" (in MacRegan's voice)
Huyo ulomtaja nikimvutia taswir nacheka san
Astaghfirullah!Haya ndio matatizo ya utajiri wa masharti ya miaka saba. Wakati bata ndio zimekolea, mara mda wako nao unakuaw umeisha hivyo inabidi uage Dunia. Pole sana shem wetu wa zamani... Tamaa ya utajiri imekuponza. Sasa unakufa kijana kabla ya umri muafaka uliopangiwa na Mola!
Numbisa,Hio picha inasemekana ni ya dokta ulimboka kipondi ana hali mbaya baada ya kutekwa. Watu wameshadidia ni ivan aisee watanzania tunatia aibu sana
Nilikua sijui hili na yeye mwenyewe ni mganga nasikiaHaya ndio matatizo ya utajiri wa masharti ya miaka saba. Wakati bata ndio zimekolea, mara mda wako nao unakuaw umeisha hivyo inabidi uage Dunia. Pole sana shem wetu wa zamani... Tamaa ya utajiri imekuponza. Sasa unakufa kijana kabla ya umri muafaka uliopangiwa na Mola!
Ndo ivo Shunie. Usije ukamkataa kijana mwenye maisha ya kawaida ukaangukia kwa tajiri mwenye utajiri wa masharti. Utajutaa! Huenda na Zari analijua hilo ndio maana akaamua kumtelekeza mapemaa, baada ya kuchuma vyake.Nilikua sijui hili na yeye mwenyewe ni mganga nasikia
Hela ya ngada ina masharti ya kuishi miaka 7?Haya ndio matatizo ya utajiri wa masharti ya miaka saba. Wakati bata ndio zimekolea, mara mda wako nao unakuaw umeisha hivyo inabidi uage Dunia. Pole sana shem wetu wa zamani... Tamaa ya utajiri imekuponza. Sasa unakufa kijana kabla ya umri muafaka uliopangiwa na Mola!