Diamond afunguka haya kuhusu issue ya mama yake kutopost picha ya Zari siku ya kuzaliwa kwake

Huo ujinga/ utoto/ utafutaji wa kick afanye na Zari na Hamisa. Kuna sababu gani ya mama yake mzazi kuhusika kwenye hayo mambo? D anajisikiaje watu wanavyomtukana mama yake mitandaoni sababu hakupost kumuwish Zari birthday?
 
Akili ipo unataka nitumie wakt kila kitu kinajionesha,we umeona hereni kisa zinafanana ukatengeneza habari chaumbea wwe
Kazi kufatilia ya watu
wasichana kibao wanahizo hereni

Sent from my GT-I9060I using JamiiForums mobile app
Pole sana tatizo kwa ushabiki maandazi, aliepost alitaka kujipatia kiki na alipata wewe endelea kusugua gaga.
 
Naona bado tunazidi kuifuatilia tu hiyo familia kupitia uzi huu
 
Pambo la kimitandao [emoji23] [emoji23] [emoji23]




[emoji817]
 
sasa unakosoa nini? Daimon kasema ni kiki tu, mie nimesema Zari aache hizo kiki za kijinga zinamdhalilisha, umeona jibu alilopewa na Hamisa? si aibu tu hiyo au nawe unaona sawa mtu mzima na mdogo wake kulumbana mitandaoni? Zari ana watoto wakubwa wanaona matusi apewa mama ake, narudia Diamon amtaadharishe Zari ajue aina gani ya kiki ajihusishe.
 

Huyo Hamisa nae alitamami kuingia madale akashindwa.
 
Maneno hayakuni ngozi, endeleeni kujipaisha mtakavyo. Na pia kuhedabu mafwedha.

Na alisema anaenda na Mama yake SA kufungua nyumba yake na mkewe na watoto wao.
 

Ulivyokazania hiyo issue. Wewe sema tu una chuki na Zari usilete habari nyingi. Jibu gani alilopewa na Hamisa. Hayo majibishano na Hamisa ni wanafanya kwa ajili ya kiki. Huelewi? Wenzio inawaingizia pesa kwa vile watu kama wewe mapovu yanawatokaa ndio mnawaongezea traffic kwenye social media. Wewe kwa mtazamo wako unaamini Hamisa ana mtukana Zari? hehehehe kaa hapo
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…