Diamond: Agent alishangaa watu wengi kuulizia nyumba niliyonunua SA



Ndugu yangu wabongo wanajua ku-exaggerate hasa likija swala ushanta. Kuna Facebook page uwaga wanapost nyumba za kupangisha mi mwenyewe wananiacha hoi. Utakuta flat ya vyumba vitatu eti sijui Msasani au Mikocheni wanapangisha kwa $5000 per month. Siku moja mi nikawaambia hata Manhattan siwezi kulipa hiyo hela ndio itakuwa Maandazi Road, wakakasirika. Tatizo biashara ya nyumba Bongo ni watu wa kati wengi.
 
Nafanya kazi kwa bidii 100%[emoji736]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…