Diamond aiponda serikali

mpalu

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2010
Posts
2,521
Reaction score
874
ALICHOKIANDIKA DIAMOND PLATNUM KWENYE UKURASA WAKE WA FACEBOOK KUHUSU SERIKALI YA TANZANIA




Dah! hivi kweli Serikali imekosa majibu ya swali la mh: Mbunge kuhusu mapato ya biashara ya ringtones..!? Kweli sasa naanza kuamini kuwa Serikali Inatukumbatiaga tu kwa Mda mfupi na kututumia Wasanii kwenye Kampeni zao kwa Maslahi yao Binafsi, kisha wanatu Damp Baada ya kufanikiwa kwenye Uchaguzi wao, bila kujali Thamani na Mchango wetu kwao.....
SOURCE HYPERMAN HK BLOG


JAMAA WABAYA WANAKUTUMIA HALAFU WAKUTUPA KULE
N​

 

tena yeye na marlow ndo wanaongoza kwenye kampeni za magamba
 
Hawa akili zao ni Afadhali ya maiti, ndio anayajuwa leo haya!!??

 
tena yeye na marlow ndo wanaongoza kwenye kampeni za magamba
maslahi ...aaanagalie redio ya wafu wanaweza kusitisha kutwanga ngoma zake
 
Toilet paper ikishatumiwa inaflashiwa. If to was in a pit latrine then that is ok. But if it is in a western toilet, then thereare two things involved.....
 
Mnalalamika nin sasa wkt mnatumiwa na wao alaf nyie wenyew hamna umoja leo mnapinga kesho mwingine anaenda kuchukua..akili zenu zipo kwenye masaburi yenu nyie
 
Kama ana hasira si alitumie domo lake kuwameza, sasa huko anakolalamika watamsadia nini?
 
Condom 1 hutumiwa mara 1 kwa kila tendo 1.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Katika harakati za kisiasa za kulijenga taifa wasanii wengi hutanguliza maslai, inaniuma analalamikia haya! Wananchi tumekuwa tukilalamikia gharama za maisha kuwa juu, mfumuko wa bei, bidhaa kupanda bei, na leo nauli wao wanajifanya hawahusiki leo katika maslai binafsi ndo wanalialia.kama watanzania kwa ujumla wetu hatutakemea tabia ya hivi, yaani mtu kulalamika baada ya kuguswa taifa letu litabaki na matabaka yasiyoisha.
INAUMA KUWA NA WATU KAMA HAWA.
 
wengine hawa hapa,sijui ata siku izi wako wapi!!!







Wasanii nyota wa bongo fleva wachangia CCM


Profesa J


Juma Nature


Mwana FA


Joe Makini


Dully Sykes


Belle 9 (shoto) na Diamond


CPwaa


Mwasiti (shoto) na Chidi Benz


wana THT
 
Hizi picha zinasikitisha sana, tutaendelea kuban CD tu za hawa wajinga na si kununuwa Original CD zao maana wana pesa nyingi mpaka wana uwezo wa kumchangia Tajiri CCM.
 
Toilet paper ikishatumiwa inaflashiwa. If to was in a pit latrine then that is ok. But if it is in a western toilet, then thereare two things involved.....

Either will be used in the back or in the front. It is in front there are two tings involved..............
 
alisema akilewa atamwaga radhi,



naona ndo radhi zenyewe hizo.
 
Hizi picha zinasikitisha sana, tutaendelea kuban CD tu za hawa wajinga na si kununuwa Original CD zao maana wana pesa nyingi mpaka wana uwezo wa kumchangia Tajiri CCM.
kwa hili hata mimi naunga mkono hoja....alafu wengine wanajifanya kutunga nyimbo za kuponda serikali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…