Diamond aiponda serikali

alisema akilewa atamwaga radhi,



naona ndo radhi zenyewe hizo.
halafu fastjet ni rafiki yake.....wakati wa id aliitwa pale i-cool akapewa fedha za matumizi ya sherehe..hivi akikutana naye huwa hawazungumzi mambo kama haya
 
kumbuka wao ndio waliwalamba miguu kipindi cha kampeni
 
wote wanakuwa kwenye pilika pilika za kutuliza
miili yao sioni kama wanaweza kutulia wakayasema haya
ila dogo anaweza kupewa mkwanja wa maana akaendelea kutesa tu kama kawaida yake.

halafu fastjet ni rafiki yake.....wakati wa id aliitwa pale i-cool akapewa fedha za matumizi ya sherehe..hivi akikutana naye huwa hawazungumzi mambo kama haya
 
wote wanakuwa kwenye pilika pilika za kutuliza
miili yao sioni
kama wanaweza kutulia wakayasema haya
ila dogo anaweza kupewa mkwanja wa maana akaendelea kutesa tu kama kawaida yake.
we mbaaaya.....
 
huyu jamaa si ndio alikua Morogoro jana na Bw. Kinana.? Kweli sikio la KUFA.....!
 
Hizi picha zinasikitisha sana, tutaendelea kuban CD tu za hawa wajinga na si kununuwa Original CD zao maana wana pesa nyingi mpaka wana uwezo wa kumchangia Tajiri CCM.

Daaaah hakuna aliye baki,, kwenye kampeni ya chamaa.... hiyo deal wotw wana ililia---baada ya uchaguzi chaliii---then sirkali haitujari----wehu sana hawa. hawakatwi kodi.. wanavuta tu mkwanja, hawateti wananchi kwenye nyimbo daily kuimba vinyimbo vya mapenzi, pombe, brunt.

Wakati maisha ya wananchi wa kawaida yanakuwa magumu,, upande mwingine siye ndo tunanunua kazi zenu na ndio mashabiki niseme maana tuko wa lika tofauti sio lazima niwe mimi lkn una present vp mwananchi wa kawida?

Nyimbo hazina ujumbe mnawaza kunua vigale na mtuchukulie dada zetu mtaani!

Angalia majina ya wanamziki wa zamani. Tx- kazi yake ilikuwa balaa,, siku hizi ohoooo dimonde.....kazi kutubuluzie wadada tu!

Nyau sana nyie.....!
 
Either will be used in the back or in the front. It is in front there are two tings involved..............
BASKET MOUTH said "If you will be used by a man you are safe, but if you are used by a woman, there are two things involved!! She will either use you from the back or from the front if she uses you from the back you are safe, if she uses you from the front there are two things involved!! You will either contract Gonorrhea or HIV!! If you contact Gonorrhea you are safe! But if you contract HIV....!!! there is only one thing involved YOU WILL DIE..!!" Wasanii nyie shobokeeni majukwaa mtakapokuja anza lipia mnachokifanya msilalamike!!!
 
Ile clip inayomdiss huyu dogo iko wapi domo kubwa kama ..... Yaani unataka umuoe Wema sisi tuka.... Wapi we hujui kama Wema ni demu wa .....
 
Juzi tu alikuwa moro kwenye mkutano pamoja na ja.ngi.li wa tembo wetu
 
Diamond chukua chako mapema na ujipange!siasa ni kwa maslahi yao binafsi!
 
Either will be used in the back or in the front. It is in front there are two tings involved..............
Either will be used by CCM or will be used by CHADEMA, when you will be used by CHADEMA you are safe, but when you will be used by CCM there are two things involved....!
 
Huyo ndomo mnafik leo ndo anajua hilo??? Wakat anakula million 36 hakuliona hilo?
 
Diadomo bwana!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
kumbuka wao ndio waliwalamba miguu kipindi cha kampeni

Nawachukia sana wanafiki kama Diamond coz kwa kutojitambua kwa mara zote wamejikuta wakitumiwa kama miswaki!! Diamond si mwanaharakati na hupanda kukoleza jukwaa la siasa kwa nyimbo za uzinzi, sasa anategemea nini kama si kutupwa ka Kondomu akishatumika! Jifunze Kwa Sugu Bwana mdogo, kama unapenda kualikwa kuimba kwenye forum za kisiasa hebu kuwa na nyimbo za kiharakati na sio za kizinzi unazotuletea wa Tz wenye kiu ya Change! ACHA UPUUZI!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…