Diamond aiponda serikali

Either will be used by CCM or will be used by CHADEMA, when you will be used by CHADEMA you are safe, but when you will be used by CCM there are two things involved....!

CHADEMA hatuwezi kumtumia huyu muhamasisha uzinzi, hawezi harakati, labda abadilishe tabia yake ya ufuska na uimbaji wa vinyimbo vya kizinzi kidogo tutamfikiria!
 

Wasaliti wa mabadiliko ndo hao hapo, mbaya zaidi hata wale wanaojidhania kuwa ni wanaharakati nao pia wamo!! Thank u , i trust u Sugu! Ofcoz huwezi kuwa kwenye huu mlolongo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…