Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Unayo shilingi ngapi hapo mfkoni!!
iyo swimming pool ingekuwa upstairs ningempa big up lakini iyo ya chini he deserves.
Unayo shilingi ngapi hapo mfkoni!!
mr nice hakuwahi kuwa na nyumbaKinachowakost wasanii wengi ni kufail kuandaai future yao. ni wazuri sana katika present tuu.
Si ajabu huyo diamond akishafutika kwenye ramani ya muziki utamkuta kona baa anapiga watu mizinga wamnunulie bia na hilo jumba atakuwa kashaliuza kitambo.
Rejea kwa mista naisi.
sio kama hakuwa na uwezo bali alijisahau akawa analala kwenye mahoteli makubwa makubwa tuu.mr nice hakuwahi kuwa na nyumba
yeah nilidhani unasema alishawahi kuwa na nyumbasio kama hakuwa na uwezo bali alijisahau akawa analala kwenye mahoteli makubwa makubwa tuu.
Will you mind if you transcript it in current dollar currency!mfukoni sina kitu coz nimevaa bukta,bank nna mil15,nje nimepaki gari ya mil17,my house worth more than 80k thous,what more can I say??
±±±±±±±±±
20 grand in the left
Another 20 in the right
Got my wallet in the back
And that thing packed tight
Credit cards don't need 'em
All the birds won't feed 'em
While I'm sitting at the table just me and family
eatin'
E-class on the cell; discussing another mill'
Gucci Gucci bottle empty, daddy needs a refill
±±±±±±±±±
Kuna uwezekano wowote wa kupata contacts za hao mafundi wanaojenga hiyo swimming pool? Natafuta fundi.
Hela nyingi anatumia kuishi maisha ya ki super star na nyingine anawapa kina dada wa mjini wamuwekee bank, anasikia raha sana akiitwa sukari ya warembo, muulizeni Mr.Nice Yuko wapi sasa!!!
±±±±±±±±±±
Changamoto hizo,vijana wengi wanafikiria ukisoma ndio unakuwa na hela thus y nimewaambia check Diamond hana hata degree lkn anakimbiza hadi ma-prof.