badiebey JF-Expert Member Joined Nov 29, 2013 Posts 5,875 Reaction score 3,112 Jan 16, 2014 #41 Money Stunna said: ukienda Malaysia kila Apartment ina swimming pool na ni kitu cha kawaida sana lakin nawashangaa mnaona ni issue kubwa kweli umasikin mbaya Click to expand... eeh jmn msitulaumu,tumezaliwa africa sie na bado tupo,kuwa na pool bado kwa hapa bongo ni lazma uwe nazo ,...na mie hadi nijenge hyo pool ka kweli,au unasemajee dr?
Money Stunna said: ukienda Malaysia kila Apartment ina swimming pool na ni kitu cha kawaida sana lakin nawashangaa mnaona ni issue kubwa kweli umasikin mbaya Click to expand... eeh jmn msitulaumu,tumezaliwa africa sie na bado tupo,kuwa na pool bado kwa hapa bongo ni lazma uwe nazo ,...na mie hadi nijenge hyo pool ka kweli,au unasemajee dr?
magnifico JF-Expert Member Joined Jan 14, 2013 Posts 11,075 Reaction score 24,634 Jan 16, 2014 #42 Money Stunna said: ukienda Malaysia kila Apartment ina swimming pool na ni kitu cha kawaida sana lakin nawashangaa mnaona ni issue kubwa kweli umasikin mbaya Click to expand... Lakini hapa sio Malaysia mkuu.
Money Stunna said: ukienda Malaysia kila Apartment ina swimming pool na ni kitu cha kawaida sana lakin nawashangaa mnaona ni issue kubwa kweli umasikin mbaya Click to expand... Lakini hapa sio Malaysia mkuu.
chaUkucha JF-Expert Member Joined May 28, 2012 Posts 3,382 Reaction score 1,214 Jan 16, 2014 #43 ni hivi kuweka swimming pool it's all about priority kama wewe huna uwezo kwanini uone ni kitu cha ajabu?
ni hivi kuweka swimming pool it's all about priority kama wewe huna uwezo kwanini uone ni kitu cha ajabu?
mfianchi Platinum Member Joined Jul 1, 2009 Posts 11,904 Reaction score 8,371 Jan 17, 2014 #44 Matola said: Wewe boya nani kakudanganya Bill gates gates hajasoma? Pale Harvard University Alikuwa anafanya nini? Labda nikusaidie wewe Google Harvard University ndio utajuwa hiko chuo kinapokea wanafunzi wa aina gani. Click to expand... Hata aliyekuwa waziri mkuu wa TZ Fredrick nae kasoma Harvard na wakati anajiunga alikuwa ana diploma ya kilimo
Matola said: Wewe boya nani kakudanganya Bill gates gates hajasoma? Pale Harvard University Alikuwa anafanya nini? Labda nikusaidie wewe Google Harvard University ndio utajuwa hiko chuo kinapokea wanafunzi wa aina gani. Click to expand... Hata aliyekuwa waziri mkuu wa TZ Fredrick nae kasoma Harvard na wakati anajiunga alikuwa ana diploma ya kilimo
Down To Earth JF-Expert Member Joined Jul 8, 2011 Posts 21,940 Reaction score 16,643 Jan 17, 2014 #45 swimming pool?