Diamond ajenga nyumba yake na kuweka swimming pool ndani

Diamond ajenga nyumba yake na kuweka swimming pool ndani

Mndengereko

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2011
Posts
7,296
Reaction score
3,398
Msanii anaefanya vizuri Africa mashariki na africa ki ujumla ambae juzi kati aliweza kuachia nyimbo na video yake mpya kwa pamoja akiwa amemshirikisha Davido kutoka nchini Nigeria..Jana amewapa shavu watanzania wenzake wakiwa wanafanya matengenezo ya Swimming Pool AMBALO lipo ndani ya nyumba yake mpya.....…

swmpool.jpg

SOURCE:TEENTZ
 
Wewe nani kasema ukisoma ndio utakuwa tajiri? Embu Google bill gates na steves jobs!
 
Mi toka nasikia Diamond anajenga mpaka leo nyumba hazijakamilika tu na akahamiaq duuuy
 
Mi toka nasikia Diamond anajenga mpaka leo nyumba hazijakamilika tu na akahamiaq duuuy

Hela nyingi anatumia kuishi maisha ya ki super star na nyingine anawapa kina dada wa mjini wamuwekee bank, anasikia raha sana akiitwa sukari ya warembo, muulizeni Mr.Nice Yuko wapi sasa!!!
 
Wewe nani kasema ukisoma ndio utakuwa tajiri? Embu Google bill gates na steves jobs!
±±±±±±±±±±
Nani kasema kuwa na elimu lazima uwe tajiri,mtu tajiri kuliko wote dunian siye aliyesoma kuliko wote.

Changamoto hizo,vijana wengi wanafikiria ukisoma ndio unakuwa na hela thus y nimewaambia check Diamond hana hata degree lkn anakimbiza hadi ma-prof.
 
Dah inaelekea mafundi wake wanampiga sana nyumba haijaisha ukuta wa fensi umezibwa nyufa hivyo?
 
Jamani kuelimika sio kuwa na title ya unprofesa au degree!
 
Kinachowakost wasanii wengi ni kufail kuandaai future yao. ni wazuri sana katika present tuu.
Si ajabu huyo diamond akishafutika kwenye ramani ya muziki utamkuta kona baa anapiga watu mizinga wamnunulie bia na hilo jumba atakuwa kashaliuza kitambo.
Rejea kwa mista naisi.
 
Hahhaha! Mjini cyo madaraka wala mipesa mingi bana mjini mipango tu!!!
 
Dah inaelekea mafundi wake wanampiga sana nyumba haijaisha ukuta wa fensi umezibwa nyufa hivyo?

dah napenda sana swimming pool ingwaje kila mtu na prefernce yake naona kama kajibana kimtindo aproximately hiyo swiming urefu ni ft 10,ingalikuwa mimi ningeweka ft 15.
 
iyo swimming pool ingekuwa upstairs ningempa big up lakini iyo ya chini he deserves.
 
Wewe nani kasema ukisoma ndio utakuwa tajiri? Embu Google bill gates na steves jobs!

Wewe boya nani kakudanganya Bill gates gates hajasoma? Pale Harvard University Alikuwa anafanya nini?

Labda nikusaidie wewe Google Harvard University ndio utajuwa hiko chuo kinapokea wanafunzi wa aina gani.
 
Back
Top Bottom