Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Unayo shilingi ngapi hapo mfkoni!!
Kauli za makabwera huzijui? Siku moja nilipita pale club ya Yanga kuna mmatumbi mmoja akawa anamtukana Manji eti Manji hana pesa, wakati yeye pale hata nauli ya daladala alikuwa hana.