Kwahiyo si tufanyeje labda??????
Hahahaaa haaaaaa! Umenikumbusha movie ya Harry Potter and ______ (nimesahau) niliiangalia zamani kidogo.
Ha ha ha!
Nilikua nampenda harry potter!
Sasa d kaiga kule
We mtu ulikufa au mi nilikufa?
Hapa ni udaku, umbea , tetesi, majungu.....ushahidi ni mahakamani sio hapaAlopotea njia ni huyo aloleta habari isiyo na ushahidi
Kama kakutangulia nawe mfate nyuma mwende majukwaa mengine hapa mpaache tuUmenitangulia!