Diamond akabidhiwa Bendera na waziri Nape kuelekea ufunguzi wa Afcon2017

badala ya kuskitika mnashangilia? mashindano ya mpira wenzenu wanapeleka timu ninyi mnapeleka msanii na mnampa bendera ya Taifa ? hahaaa hii hutokea bongo tu!
 
Point mkuu mtu kama Nape ni muimbaji mzuri tu anajua nn anachofanya
 
Wadau mimi nauliza, je hii bendera itawekwa viwanja vyote pale Gabon sababu [emoji184] katumbuiza kwenye uzinduzi kama zinavyowekwa za timu shiriki? Labda aivae wakati anatumbuiza!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…