Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sioni sababu ya diamond kukataa hiyo mipesa
wanasaka uraisi kwa mahela mengi sana,sijui wakitawala watazilipaje
c.c Pasco
Siamini kama huyu babu yupo desperate kiasi hiki kupata urais!!!!!!!
Kama ni kweli ana agenda gani?????? Kwann asitumie fedha alizo nazo ku invest hapa nchini kama kina Dewji, Bhakresa na Mengi ili vijana wetu wakapata ajira?
Nini kinachomfanya anganganie kwenda ikulu kwa marushwa makubwa hivyo?
Nyerere anajua siri hii ila bahati mbaya alienda nayo kaburini!