Diamond akataa milioni mia tano za Lowassa

Mmh... nimepotea njia ngoja nirudi nilikotoka.
 
Uongo huu na uzandiki kwa lipi diamond atakalofanya astahili hela yeyote lowasa ni jembe haitaji taarabu kushinda urais
 
Shigongo yuko bega kwa bega na Riziwani, team Membe
 
Mbwe mbwe tu hizo ....chezea system wewe ikikuhitaji uitumikie? Dogo domo atakuwa anajikosha tu ila ukweli anaujua umwanzo mwenga.
 
Last edited by a moderator:
Siamini kama huyu babu yupo desperate kiasi hiki kupata urais!!!!!!!
Kama ni kweli ana agenda gani?????? Kwann asitumie fedha alizo nazo ku invest hapa nchini kama kina Dewji, Bhakresa na Mengi ili vijana wetu wakapata ajira?
Nini kinachomfanya anganganie kwenda ikulu kwa marushwa makubwa hivyo?
Nyerere anajua siri hii ila bahati mbaya alienda nayo kaburini!
 
Hivi wew waijua Mil.500 au unaisikia, huyu jamaa hawezi kataa hiyo hela kama ni kweli kapewa hilo dili, hii ni fununu tu.
 
Siamini kama huyu babu yupo desperate kiasi hiki
kupata urais!!!!!!!
Kama ni kweli ana agenda gani?????? Kwann
asitumie fedha alizo nazo ku invest hapa nchini
kama kina Dewji, Bhakresa na Mengi ili vijana wetu
wakapata ajira?
Nini kinachomfanya anganganie kwenda ikulu kwa
marushwa makubwa hivyo?
Nyerere anajua siri hii ila bahati mbaya alienda
nayo kaburini!
 
wanasaka uraisi kwa mahela mengi sana,sijui wakitawala watazilipaje
c.c Pasco

ndipo hapo wenye akili timamu tumeshamkataa huyu fisadi kitambo. wamebaki wachumia tumbo kina ocampo four ambao wapo radhi matumbo yao yaneemeke ila watz waendelee teseka zaidi.
 
Last edited by a moderator:


Ndugu, sio kila taarifa ni ya kweli, jaribu kuangalia chanzo cha taarifa yenyewe uhakiki. zaidi sana sioni value ya huyo mpewa hela. jiulize for what ????? worth that????
wengine maisha yao yapo magazetini kila siku utakuta majina yao magazetini, halafu magazeti yaleyale..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…