Diamond akataa milioni mia tano za Lowassa

Hivi Lowassa anatoa wapi hila? Mbona anaonekana kuwa na uwezo wa kugawa pesa kama ana kiwanda cha kutengeneza pesa?
 
Membe awe Rais kweli ? No na hii dhana ya foreign minister kuwa Rais wa nchi yetu itazikwa rasmi ata kabla ya mwezi wa sita. Tuombe uzima.
Ndio maana Membe ameweka wazi kwamba akiingia magogoni kuna waandishi watahama nchi.

Je suis Charlie" inawahusu hawa jamaa hakuna haja ya kupelekana mahakamani ni shaba tu.
 
Moderator haya magazeti ya kipumbavu yapigwe marufuku kuletwa humu, hizi ni habari walengwa wake ni wauza maandazi na wacheza viduku.

hata hao nao wameyakataa sikuizi wanatumia plain tu sasa ilo gazeti sijui mlengwa wake hasa nani maana sidhani kama linasomwa lipo kuchafuatu watu ili mladi wao wanaingiza pesa kwa habari wanayo itoa
 
Membe awe Rais kweli ? No na hii dhana ya foreign minister kuwa Rais wa nchi hii itazikwa rasmi ata kabla ya mwezi wa sita. Tuombe uzima.
Haya mkuu siyo tuombe tu bali tuulinde huu uzima kwa nguvu zote.Halafu kwenye siasa chochote kinawezekana ni mipango na mikakati tu.Unawajua aliowabwaga Asamputa Mshama/Lusinde ama Prof Majimarefu?
 

na walio pewa pesa wengine, watajitokeza hadarani sijui mtajificha wapi?
 
Atudilinamashoga nyie mbwa pelekeniutumbo wenu
 
Hili gazeti la Visa lina visa kwelikweli
 
Hivi Lowassa anatoa wapi hila? Mbona anaonekana kuwa na uwezo wa kugawa pesa kama ana kiwanda cha kutengeneza pesa?

Unaamini kila kinachoandikwa na magazeti tena ya udaku?

Unahitaji pole ya dhati.
 
We need Jukwaa la lowassa aisee

Haingii akilini kabisa mtu kumpa msanii milioni mia tano hata kabla ya kupitishwa na chama

waganga njaa mnahitaji sana elimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…