Muuza Sura
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 1,985
- 1,352
Tumbo kinyamwezi I must admit!kuwa na tumbo kama hilo siyo kazi rahisi ingawa inawezekana ila pia ieleweke kuwa na sura nzuri na muonekano wa kinyamwezi ni kitu hakiwezekani kama hujazaliwa na sura ya mauzo!!!sijawahi kuona picha passport size linapigwa tumbo bali uso!kipande ndo silaha ya mauzo!sura nzuri haipatikani gym wala hospital ila tumbo ni mazoezi tu na discipline ya misosi!Damn!!!!!what a body!!!!I'm so in luv with those six pacs!!! So kama kina Muuza Sura kushindia viepe
Kama unataka kupatia manake hako kashetta kana meno mengi kama kashettani!kakicheka ni kama kibwengoshetta au shettani
shetta au shettani
Ushamba tu. Na asijegeuka wale wanaoenda haja ndogo kwenye swimming pool tu, maana ndo keshabaki na underwear kaa yupo chooni kwake
Hivi mtu alizaliwa Kigoma, inakuaje hajui kuogelea?
Pool zetu hapa Bongo zimejaa uchafu tu. Unakuta masharobizi wanaogelea na boxer chafuu kinoma,huku wakiona ndio swagga hizo. Maboxer machafu mpaka yanazidi nguvu ya Chlorine,tunabakia kuoga mikojo na mauchafu ya watu wazima.
Wivu huo!!!Tumbo kinyamwezi I must admit!kuwa na tumbo kama hilo siyo kazi rahisi ingawa inawezekana ila pia ieleweke kuwa na sura nzuri na muonekano wa kinyamwezi ni kitu hakiwezekani kama hujazaliwa na sura ya mauzo!!!sijawahi kuona picha passport size linapigwa tumbo bali uso!kipande ndo silaha ya mauzo!sura nzuri haipatikani gym wala hospital ila tumbo ni mazoezi tu na discipline ya misosi!
Hivi ushamba ni nini hasa?
But ukiangalia kihalisia, wanaume when it comes tu kuogelea, ni tofauti na wadada. Kila mtu huwa anatoka kivyake. Huyu pensi, huyu tracksuit,yule boxer!!! Ni wachache wenye swimming costumes. Hapo mimi simshangai Diamond.Ushamba ndo kama huo, kutoweza kutofautisha mavazi gani uyavae wapi
But ukiangalia kihalisia, wanaume when it comes tu kuogelea, ni tofauti na wadada. Kila mtu huwa anatoka kivyake. Huyu pensi, huyu tracksuit,yule boxer!!! Ni wachache wenye swimming costumes. Hapo mimi simshangai Diamond.
Pool zetu hapa Bongo zimejaa uchafu tu. Unakuta masharobizi wanaogelea na boxer chafuu kinoma,huku wakiona ndio swagga hizo. Maboxer machafu mpaka yanazidi nguvu ya Chlorine,tunabakia kuoga mikojo na mauchafu ya watu wazima.
Tumbo kinyamwezi I must admit!kuwa na tumbo kama hilo siyo kazi rahisi ingawa inawezekana ila pia ieleweke kuwa na sura nzuri na muonekano wa kinyamwezi ni kitu hakiwezekani kama hujazaliwa na sura ya mauzo!!!sijawahi kuona picha passport size linapigwa tumbo bali uso!kipande ndo silaha ya mauzo!sura nzuri haipatikani gym wala hospital ila tumbo ni mazoezi tu na discipline ya misosi!
Kusema ukweli swimming pools za sehemu nyingi tu duniani huwa zina bodily fluids. Watu hutema mimate yao humo, wapo ambao hukojoa, wengine hupenga makamasi, na hata wapo ambao hutema makohozi yao.
Ndiyo maana mimi nimejipiga marufuku kabisa kuingia kwenye ma pool hususan yale ya umma.
Mna kazi, hii nayo thread!!
Kuna wanaotema mate na ku-blow up their noses! Unless its a private pool, waiiii! I love the ocean! Chlorine yenyewe mchina kachakachua, purchasing officer nae, na msafishaji si ajabu nae kachukua share! Niliwahi kaa kwenye pool bar ya wet and wild nikaona chura anaogelea kwa raha zake nikakoma! Hakuna chlorine hapo!
Mie niliezaliwa Ocean road mbona sijui kuogelea....