Diamond akipaka wanja!

dazipozi

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2011
Posts
1,137
Reaction score
106

Nasikiaga wanasemaga wanja sunna ni hadi kwa watoto wa kiume?
 
Yatakuja mengi sana kwa huyu dogo, alianza tartiiibu, Napita
 
Jana ulitoboa masikio.
Leo unapaka Wanja.
kesho shababi Gang Chomba akikutomasa Kalio...je utarusha
ngumi?...
 
Haaaaa.... halafu alivyoushika vizuri,mpaka inasikitisha..
 
Haya ni madhara ya tangu utotoni! Wazazi wengi huwapaka watoto wao wanja wanapo kuwa wadogo, uenda ameendeleza katabia hako.
 
Haya ni madhara ya tangu utotoni! Wazazi wengi huwapaka watoto wao wanja wanapo kuwa wadogo, uenda ameendeleza katabia hako.

Mengine wanajifunza wao wenyewe ulimwenguni,sidhani kama wazazi wake walimfundisha na kuvua nguo na kuwaongesha watu makalio yake
 
Jana ulitoboa masikio.
Leo unapaka Wanja.
kesho shababi Gang Chomba akikutomasa Kalio...je utarusha
ngumi?...

di mond anakupagawisha sana hasa anapojipodoa shababi G C Gang C Gang Chomba..
 
Mengine wanajifunza wao wenyewe ulimwenguni,sidhani kama wazazi wake walimfundisha na kuvua nguo na kuwaongesha watu makalio yake

wao wanakuambia watu wa jukwaa la matangazo madogo madogo kuwa biashara matangazo so stay tuned utasikia watu wanaleta posa..
 
master wa kibongo bana, maumivu ya kichwa huanza pole pole... soon tutaanza kusikia analiwa0713,
imagine wanja for what? waarabu faster watamuongeza gari la pili...
 
Kusuka nywele, kutoboa masikio, kupaka hina, sasa wanja eti kisingizio mimi ni msanii teh teh teh.....
 
Attachments

  • wanja.jpg
    32.6 KB · Views: 2,552
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…