Diamond akipaka wanja!

sasa mie nazungumzia wasanii wewe unaniorozeshea masela..!!hapo msanii ni Juma Nature pekee,nakushauri kaangalie video ya Nature 'dance with me' alafu ndio uje uongee hapa.

Basi nahisi we hata mziki wenyewe maana ya neno msanii lenyewe hulijui
 
mbona hiyo orodha yako hakuna hata mmoja asiyeliwa wote urojo, ungesema kama ONYX, DAS EFX, LOST BOYS, DMX, KRS ONE, RAKIM, AKINYELE, CANIBUS, BIG SMALL, Ol Dirty Bastard, Dick Almighty, wanapaka wanja ningekuomba umshauri babako nae apake.
hapo umemsahau GURU a.k.a GANGSTAR.......R.I.P, Ila mkuu nimependa advice uliyompa yule bwana ya kumshauri BABA yake nae aanze kupaka wanja....ha hahahahahhahhahh..pua zikamtanuka...kaona umemtukana baba yake halafu anataka daimondo apake....dah kaz kwel kwel
 
Basi nahisi we hata mziki wenyewe maana ya neno msanii lenyewe hulijui

sisi ndio tumeupokea huu mziki unaoushabikia,na tukawafundisha muziki unaowashabikia.

Jibu hoja sasa ni msanii yupi aliyefanya video na kampuni kubwa ambaye hakufanya makeup??mtaje alafu tumuhukumu dimondi
 
sisi ndio tumeupokea huu mziki unaoushabikia,na tukawafundisha muziki unaowashabikia.

Jibu hoja sasa ni msanii yupi aliyefanya video na kampuni kubwa ambaye hakufanya makeup??mtaje alafu tumuhukumu dimondi
acha uboya mkuu kwani we wa wapi?hakuna msanii hata mmoja ambaye anakwenda location na kufanya make up mwenyewe...huyo ni shoga na nahis hata wewe mkuu utakuwa wa type yake...sina mengi endelea kujipotosha,,,,,MWANAUME HAJIREMBI...UKIONA HIVYO UJUE KUNA SHAKA...MTOTO SIO RIDHIKI
 

nashukuru umekubali kuwa makeup inapakwa na wasanii wakati wa kushoot video..basi sio dimondi pekee ni shoga bali wasanii wote dunia hii ni mashoga sababu wanafanya makeup location.

Kina bustarhymz,nas,jiga,common,rickross,usher,immortal teqnics,dr dre,snoop lion,prof j,jmoe,ngwea,hiphop pantsula,mi,wizkid,izo biz juss 2 mention a few!
 
Wewe mbona akili yako ndogo? unafahamu Art department kwenye Film Industry?
 
Wewe mbona akili yako ndogo? unafahamu Art department kwenye Film Industry?

Kwa kutumia mantiki yako, tofauti ya Msanii kujipaka wanja na ile kupakwa na mtu mwingine, ni ushoga?

Hivi kweli unategemea Wasanii wa Bongo Fleva kama Diamond watakuwa na "Arts department" ambayo ni available 24/7 kwa lolote kama aliyonayo Jay-Z au 50 Cent?

Watu kama wewe are the usual closet fags who aren't secure with their own sexuality, na siku zote wapo mstari wa mbele kuwatuhumu na kuwaponda wengine kwa ushoga.

"Check Yourself Before You Wreck Yourself" ...

 
Last edited by a moderator:
Siku nyingine wala usisumbuke kuniwekea video za Youtube maana unajiangaisha bure kwa sababu sina muda huo wa kupoteza bandwidth zangu bure, mimi situmii Internet ya ofisi, nanunuwa bundle, kwahiyo sina pesa ya mchezo.
 
Last edited by a moderator:
Wewe mbona akili yako ndogo? unafahamu Art department kwenye Film Industry?

Art department nini??
Inafanya kazi ipi haswa??
Naomba pia unipe connection yake na tunachokijadili hapa??
Nipe elimu..
 
Wewe mbona akili yako ndogo? unafahamu Art department kwenye Film Industry?

Anabana matumizi, wanja tu mpaka mpaka departiment! hizo pesa zenyewe za kuanza kulipa madepartment zipo wapi? hata huyo aliyekaa pembeni yake anaweza kufanye hiyo kazi ya makeup departiment vizuri tu.
Bongo wasanii wanaumia sana, hapo dereva yeye make up yeye labda ulinzi tu akifika ukumbini ili mashabiki wasije mtoa chongo bure.
wa kule bongo movie ndio kabisa, akifanya movie mbili tatu anaanzisha kampuni yake ya production, producer yeye, director yeye, hadithi yeye, actor yeye mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…