Diamond akirap kwenye beat ya "All The Way Up"

Is this for real?...I mean, Official Remix?..
 
"Wanajenga majungu ni najenga vibanda....." Hahahaaaaaaa, kazi kwao timu kibakuli!!! [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]

Mi naona kama Diss flani hivi.
 
Kuna mijitu utasikia ''ANTUMIA NGUVU ZA FREEMASONS KUFLOW HAPO''....Diamond jitume tutakusaidia kuwa tajiri hata kama sisi ni masikini.
 
wimbo ni mzuri japo sijausikia
Mkuu ninafikiri umeshawahi kumpenda mtu ambaye haujawahi kumuona af mkaachana af unatuma post JF kuwa "please babe come back"[emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3]
 
hahaha woman of my dream!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…