Diamond akutana na mchekeshaji wa US, Kevin Hart

chinchilla coat

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2016
Posts
5,107
Reaction score
10,969
yupo jijini Los Angeles, Marekani ambako tayari ameshoot video ya wimbo Marry You aliomshirikisha Ne-Yo, amekutana na mmoja wa mastaa maarufu sana Marekani. Amekutana na mchekeshaji na muigizaji wa filamu, Kevin Hart.

Amepost kipande cha video Instagram akiwa na muigizaji huyo wa Central Intelligence anayesikika akiwasalimia followers wa Diamond.
 
E bhana huyu dogo sasa hashkiki....hiyo nafasi tu tayari kashapiga bao
 
Nimependa kevin hart alivyo ongea kiswahili kidogo hapo hakika Tanzania ya viwanda inakuja
 
Maisha yanaenda kasi, toka kujipendekeza kwenye harusi ya memba wa PSquare ambayo bwana harusi hakuwa anamjua hadi kuhang na kina Kevin Hart
 
Haya maisha hayafai kukata tamaa. Huyu Diamond yuko mbali. Ni mfano wa kuigwa.
 
Yah good kijana.

Ila nashangaa kwanini vijana haigi.

Alisema siku moja mziki ni ujanja ujanja, timing, na kujipendekeza ikibidi.ili upate utakacho.
 
Yah good kijana.

Ila nashangaa kwanini vijana haigi.

Alisema siku moja mziki ni ujanja ujanja, timing, na kujipendekeza ikibidi.ili upate utakacho.
Huo mstari nimeupenda,na ukiangalia ni kweli, maana wanaojua kuimba ni wengi hata marehemu bi Kidude alikuwa anaimba,lakini ili ufanikiwe zaidi,ndipo huo mstari unapofanyakazi.
 
Hii ni fursa ni mara Mia to aambatane na kijoti
 
Hii ni fursa aache kuambatana na wauza sura[emoji706] , angeenda na kijoti au mpoki dili tayari[emoji574]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…