Diamond akwaa skendo nyingine ya kutembea na Mia

Ahaaaa sawasawa na First World nao wanapiga pesa za wafadhili.......
Hao WaPo kibiashara ya kutununulisha mavidonge yao ya Arv, , jiachie mkuu ,,Hamna cha ukimwi wala chochote,;; wazungu wajinga sana
 
Kuna wadada wajingaaaaa. Unatembea na mwanaume anaependa kudhalilisha wanawake bado unafanya matangazo? Mimi ningelala nae kimya nikapita hivi. Halafu na huyo demu ndo kaona pa kutokea hapo anajitangaziaje jambo la aibu hivyo?.
 
Hahahaha
 
Mhhh yani mimi mtu anaetakwa takwa ndo simpendi sasa hivi vitoto vya kisasa ndo kucha kutwa kukimbizana kukipelekesha kwa dimond
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…