Diamond akwaa skendo nyingine ya kutembea na Mia

Huyo msichana mshenzi.. amedhalilishwa au amejidhalilisha... ww umepewa lift unataka upige na honi... Unataka ulete ajali.... Pumbavu zake... Alitaka kutafuta kiki
 
Huwa naamini kwamba wasanii ni kioo cha jamii! Kama huyu msanii anatumia umaarufu wake kungilia kila msichana / mwanamke anayemuona, basi hafai kuigwa kwa chochote!
 
Pia aliongeza kwa kusema;
"unawezaje kumpeleka mwanamke wako ukalale nae kwa boss wako?" "Kwa mfano wewe soudy umchukue mwanamke wako ukalale nae kwa boss wako haimake sense", "inamaana kua bujuni ye hana nyumba au gheto hadi anipeleke kwa diamond "?
 
Hahaha...du wadada wanazid kujidharirisha sasa ukishathibisha umegongwa na mond ndo unapewa tuzo au ujinga tu....kwan alikukuta bikra kwann usimtangaze aliekukata utepe
Mkuu unaongea point sana unaweza ukawa mkombozi wa Tanzania coz ndo issue yan balaah na kinacho nishangaza ni channels nyingi kama milladi ayo dizzm online muungwana bongo five zinajiusisha sana na skendo na ndo ajira kwa wabongo yani watu kugombana ndo ajira kwa hzo channels hapa bongo kuna vivutio na vituko vya ajabu yani mtu anafuatilia maisha ya msani kuliko kazi Zake mm binafsi najua wasanii wamamtoni huwezi kujua maisha yao sana kuliko kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…