Diamond alamba milioni 50 kutoka kwa Dr. Mwaka

huyu Dokta nae anatafuta kick tu hana lolote
 
Haha sasa hizo si pesa za mboga kwa kiba unajua deal la wild aid amepewa shi ngapi au mpaka bongo 5 watangaze that's we call it private issues
 
Last edited by a moderator:
DIAMOND yeye anapiga pesa kwa nyimbo ambayo bado hajatoa (ubunifu wa kibiashara) kile kimsanii chetu kinyimbo chake kimebuma siku hiyo hiyo alipokitoa (chezea wabongo wanakusifia na huku wanakung'ong'a)
 
Amepoteza pesa zake bora hata angempa kingwendu amfanyie promo ingelipa, diamond kapoteza mvuto hakuna anaehangaika nae,,..

Pole yako unakosa kuwa na roho yenye furaha.

Maana na JPM nae anakukuna sijui utapatia wapi furaha

Utajiju
 
Last edited by a moderator:
Yule tabibu maarufu hapa Tanzania Dr Mwaka amemlipa Diamond millioni 50 iyo ikiwa ni kama promotion fees ambapo mikataba ni kuwa kila diamond atakapo kuwa anapost updates kuhusu ujio wa ngoma yake mpya je utanipenda aweke hash tag #drmwaka hadi pale ngoma intakapoachiwa rasmi #jeutanipenda
 
Babu K yupo kwenye mabonanza ya kugombe kuku anacheza some.
 
ivi dr mwaka ni uganga wa tiba mbadala au ana biashra nyingine? alafu ni dr wa kusoma au ndo kuunganishia tu

Aisee anapata fedha nyingi sana ukizingatia anachotibu ndiyo haswaa hitaji.la wananchi wengi kwa sasa.ukienda kliniki yake utakuta umati hapo ni Dsm tu na hapo mtu atoki bila.kuacha 40.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…