Diamond alamba milioni 50 kutoka kwa Dr. Mwaka

Sishangai kusikia Dr.Mwaka kulipia milioni 50 jamaa yupo vizuri kwanza nyumba anayokaa na magari anayomiliki sidhani kama kuna msanii bongo anamiliki kwasasa.
Inaamaana yeye ni mzungu na dr mwaka anatafutwa huku kamkimbia dr hamisi kigwangala tapeli.yule
 
Hivi Dr. Mwaka ndiye yule aliyekimbia mwenyewe kumwacha Dr. Kigwangala aakigangala kwa mshagao kuona dr. mwenzake anakimbia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…