Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hyo ni perception tu ya watu, hatujui alimaanisha nini. tuyaache
![]()
Hii ni ishara dhahiri juu ya tusi kubwa si kwa wanaompinga tu hata kwa wale waliomfanikishia kuchukua tuzo hiyo,
Sipendi kuwashabikia hawa wasanii maandazi wabongo lakin kwa tafsir ya harakaharaka, huo ni ukosefu wa elimu maana huwezi kuta msanii aliyesoma na ajua ethics za kazi yake kuna vitu hawezi fanya vya kijinga, lakini huku bongo msanii anatambua kipaji chake baada ya kufeli shule, unakuta hata meneja wake naye ni mhuni tu mcheza ngoma sasa unategemea nini?
Noma sana, mbaya zaidi hii picha imepigwa mbele ya management yake, na imepigwa na kusambazwa na timu yake kama sikosei. Nilisema juzi kati jamaa anahitaji management mpya itakayomsimamia kama managements za kimataifa zinavyofanya.
Haya si makosa ya Diamond, ni makosa ya management yake, wameshindwa kumuongoza kijana.