Kazwala mkuu
JF-Expert Member
- Jul 2, 2016
- 1,034
- 2,250
Salaam
Katika wasanii wa kizazi kipya wenye gumzo kubwa kwa sasa ni Diamond na Ali Kiba, wasanii hawa wana timu kubwa za mashabiki kiasi kwamba kila upande huamini kuwa msanii wao ndiyo zaidi hivyo ligi hiyo haijawahi kuhitimishwa popote pale.
Naam mambo yamepamba moto kweli kweli na mziki wetu unapasua anga zaidi kila kukicha kupitia ushindani wao.
Mziki wa sasa umekuwa unafika mbali na kusikilizwa na wengi duniani, lakini pia vijana wetu wengi wamejiajiri kupitia mziki
Lakini kila unapouliza nani msanii namba moja, kama hutajibiwa Diamond basi utajibiwa Ali kiba, tuwachukue wote kwa pamoja na tuendelee mbele.....nani mtu wa tatu? Ni yupi anaefuata mara baada ya hawa?
Je, ni vijana wa Diamond, Rayvan na Harmonize?
Je, ni vijana wa Kiba, Baraka de prince na Abdul Kiba?
Ni Barnaba boy
Rich mavoko
Duly Sykes
Ben Poul
Jux
Ommy Dimpoz
Belle 9
Rama dee
Chegge
Au nani?
Je, kwanza wao (Diamond na Kiba) wanastahili kuwa mbele ya wasanii hawa wengine?
Yupi mtu wa tatu?
Karibuni wataalam wa tasnia hii.