Diamond alichofanyiwa na Heaven on Desert(Kifesi)

Diamond alichofanyiwa na Heaven on Desert(Kifesi)

heaven on desert

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2013
Posts
1,025
Reaction score
393
DOUBLE DIAMOND-DESIGNED BY @KIFESI.jpg
Siku zote napenda kujifunza vitu vipya,nisivyovifahm kuhakikisha navifahamu.
na kwa kila hatua ya ufahamu ninayoipiga sisahau kumkumbuka Diamond,mtu ambaye siku zote amekuwa akinitia moyo na kuwa naweza ,kutonikatisha tamaa ninaposhindwa ndiyo kumenifanya .sijasoma upigaj picha,leo ni mpiga picha wake mzuri kwa sababu yake..yeye ndie kanishape siku zote amekuwa akiniambia..HAKUN ALOZALIWA ANAWEZA,sijasoma graphics,sikuwa nafaham chochote leo japo cijabobea but i can do anythn concerning graphics,iwe matangazo,iwe poster,ma kugeuza picha kuwa vile nitakavyoO PIC JUU.. KAMA HIY...yote ni sababu yake.
He is ma best boss of all time.jion njema
 
Mkuu unajitahidi kwenye kazi yako ila jifunze kuandika kitu ambacho utamuweka kila mtu kwenye kundi lako namaanisha adui mpka rafiki.Leo umejitahidi kwenye post yko.Keep it up
 
HOD hiv domo anatumua lotion gani maana anang'aaa kweliii au dodooo
 
Haha kuwa mpole machaka mengine usiwe unaingia ni nuksi

Kwenye katiba nisiwemo, siasan nisiwepo,great thinker simoo na hapa nikosekanee aisee mbona kaziiii humu hapanaa
Ilikua ni humu humuu
 
Back
Top Bottom