heaven on desert
JF-Expert Member
- Jan 25, 2013
- 1,025
- 393
Umejitahidiii mwaegooo hata mi nilijuaa hujasomeaaa kupigaa pichaaa
Hahaha kama jana na Juzi!!
Umejitahidiii mwaegooo hata mi nilijuaa hujasomeaaa kupigaa pichaaa
Kama kawaidaaa usiponionaa humu lazima uzimieee mi ni kama pumziii hapaa leo umepitwaa ligi nyingii hee kidogo nilambwee ban
Daimondi kafanywaje tena na Kifesi?
Unapendaga kumpa moyo huyo kama anafanya kitu cha ajaaabu kumbe kawaida sana
Haha kuwa mpole machaka mengine usiwe unaingia ni nuksi
Kwenye katiba nisiwemo, siasan nisiwepo,great thinker simoo na hapa nikosekanee aisee mbona kaziiii humu hapanaa
Ilikua ni humu humuu
HOD hiv domo anatumua lotion gani maana anang'aaa kweliii au dodooo