Jannatul Firdaus
JF-Expert Member
- Aug 4, 2026
- 446
- 1,113
Acha ushamba basi..Hapo unapomuita stella mbunge una maana gani? Ni mbunge wa jimbo gani?
ndo nishakuwa mshamba Sasa maana natokea mbali kweli, nipe majibu mkuuAcha ushamba basi..
Hapo mtu mmoja tu. Bado vitu vingine si itafika Mil 200 /video10m? tunafanyana wajinga sana
Hapo mtu mmoja tu. Bado vitu vingine si itafika Mil 200 /video
Bro mbona hiyo mke wa mtu imeiweka kimkazo eti!!!!!Hii habari mbona ya muda na huyo dada ni mke wa mtu, huwa hafanyi kazi chini ya 10m.
Si wameshaanza kumdis kama anauza nyapu😂Bro mbona hiyo mke wa mtu imeiweka kimkazo eti!!!!!
Siyo unamzibia mlango bro acha chokochoko nzaaaankooooSi wameshaanza kumdis kama anauza nyapu😂
Hawajui kila kazi kuna watu wanaifanya professionally
Ukitaka isikuumize sana kichwa iweke kwenye USD10m? tunafanyana wajinga sana
Hapana simzibii, namsafishia broo😅Siyo unamzibia mlango bro acha chokochoko nzaaaankoooo
Mkuda weee umesema kwa sauti mpk kataa ndoa wameshtuka bwaaaHapana simzibii, namsafishia broo😅