Diamond alipopewa nafasi ya kuimba kusifia mafanikio ya chama/ Serikali, yeye akaimba mapenzi!

Nichumu Nibebike

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2016
Posts
8,658
Reaction score
15,793
Monde ushaambiwa, hapa kazi tu.
Sasa mheshimiwa sana alipokupa nafasi ya kuimba, alitegemea uimbe nyimbo kama za kina Mrisho Mpoto za kusifia maendeleo ya chama na serikali wewe ukaboronga na kuanza kuimba mapenzi.

Unamletea swaga hizo mzee wa hapa kazi tu? Kiukweli, ulizingua sana tu!
Mzee alivyosikia swaga ambazo haziendani na alichokitegemea, akamkatisha Monde kuimba ghafla.

Siku nyingine Monde uwe unajipanga. Uwe na nyimbo za kutosha kuendana na matukio!

Mfalme alimaind kichini chini kuona kuwa zile swaga za kusifiana hazipo!
Take note!

 
Hahahaha kazi ipo, inabidi siku nyingine awe na verse mfukoni tayari tayari
 
Monde alizingua kwa mujibu wa malaika mkuu wa maibilisi.
 
Mhe. Alikuwa anawahi kwenda kupokea Ndege mpya.Hizo ni hisia zetu tuu,mbona hatusemi pale walipokuwa wanateta wakiongea nini.
 
HAHAHAHAH hata Alikiba alishawai kupewa nafasi ya kuimba mbele ya Rais na wakateta kwa zaidi ya masaa mawili sema tuu king kiba mambo ya show off hayapendi......
 
Hakuna sehemu Rais alitaka Daimond aimbe kusifia chama au serikali zaidi alitaka aimbe wimbo wake wa namber one maana Rais Magufuli anauzimia sana....ndio maana alipo imba alifurahia... na tunajua mnatafuta kumchonganisha Diamond lakini mmechelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…