Diamond alivyompata Mimi Mars ni kama watu wanaonunua bidhaa online na kuletewa wanapoishi!

Status
Not open for further replies.

Leak

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2012
Posts
52,916
Reaction score
43,505
Wasalaam wana Jamvi!

Baada ya mwana muziki bora kabisa Tanzania kumsifia mdogo wa mwanamuziki Vannesa Mdee hivi karibuni kwenye ukurasa wake wa instagram “ haka katoto nakapendaga basi tuu”.

Baada ya hayo maneno ya on line unaambiwa ni kama Diamond aliagiza vile bidhaa on line hivyo alicho subiri ni kufikishiwa mzigo huo nyumbani ili aulipie....

Baada ya siku mbili ilibidi Aristote ahakikishe Bidhaa hiyo inafika nyumbani salama kabisa!

Diamond hakikisha na huyu binti una mnunulia gari au nyumba sio zawadi ya mtoto tuu....

Hongera sana Mimi Mars!
 
hao walikua washamalizana muda mrefu ni vile tu walitafuta njia ya kuujulisha umma, we unaona baada ya post ile mimi mars amekua akishusha mistari ya maandiko as if ni mtu wa dini sana, inshort wametumia mbinu za kijanja sana kuujulisha umma mahusiano yao
 
Wasalaam wana Jamvi!

Baada ya mwana muziki bora kabisa Tanzania kumsifia mdogo wa mwanamuziki Vannesa Mdee hivi karibuni kwenye ukurasa wake wa instagram “ haka katoto nakapendaga basi tuu”.

Baada ya hayo maneno ya on line unaambiwa ni kama Diamond aliagiza vile bidhaa on line hivyo alicho subiri ni kufikishiwa mzigo huo nyumbani ili aulipie....

Baada ya siku mbili ilibidi Aristote ahakikishe Bidhaa hiyo inafika nyumbani salama kabisa!

Diamond hakikisha na huyu binti una mnunulia gari au nyumba sio zawadi ya mtoto tuu....

Hongera sana Mimi Mars!
expand...
Hela+Plus umaarufu=Ulimbo wa walembo.

Ila dah na muonea huruma Mimi Mars sizani kama atabaki salama.

Wewe tafuta hela watakuja wenyewe hutumii nguvu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom