King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
yy diamond kapata ngapi?
ndo akina nani hao? mabondia waliokamatwa Mauritius??Jana wakati ommy dimplez anapokea tunzo yake,diamond alitoa ushuhuda kwamba mungu mkubwa,yeye ndio aliyevumbua kipaji cha ommy lkn alivyoenda kwa producer kumu-introduce huyo producer(Bob Jr) aksema huyu(ommy) hawezi kabisa,sasa diamond anashangaa huyo aliyesema hawezi ajapata tunzo hata moja,labda pengine diamond analipiza dongo alilopigwa na bob jr wkt akichezesha taya na sam misago kwenye FNL(jana yake) kwamba yeye(diamond) sio rais wa wasafi.
Nawasilisha.
ndo akina nani hao? mabondia waliokamatwa Mauritius??
kapata tatu!wewe ngapi??
Hapa wanazungumziwa wanakwaya wa kanisa gani?
Milima ya moto.
Wazush wao, wnatuzngua tu na manymbo yao ya mapenz!Sjui hta kama wnajua kama tpo kwenye mchakato wa katiba...wamekalia 'pamba', 'bling' na 'madem' tu.....
Wote wachaf tu...hamna msaf hta mmoja hapo!
Pamba wanazijua hao au wanaiga,halafu akina T.I,DRAKE,KANYE,JAY na MADDAME B,Tusemaje kuhusu ma-bling yetu?
Watupishege huko na viji-nguo vyao vya "viji-boutique" vya uswazzzz! ebo!
Pamba wanazijua hao au wanaiga,halafu akina T.I,DRAKE,KANYE,JAY na MADDAME B,Tusemaje kuhusu ma-bling yetu?
Watupishege huko na viji-nguo vyao vya "viji-boutique" vya uswazzzz! ebo!