Diamond ndo yule mcheza show wa Malaika band?
Hatumpigii kelelee kada wa ccm....ngoja wana ccm wenzake waje
Mkuu, mpaka kuwa nominated hujatoa hata kota, kwahiyo tuliza mshono hivohivo mwanaume afanye yake
oyooooooooooooooooooooooooooooo
Mkuu, mpaka kuwa nominated hujatoa hata kota, kwahiyo tuliza mshono hivohivo mwanaume afanye yake
oyooooooooooooooooooooooooooooo
Na bado. Mshajinyookea.
Kijana success zina flow tu. Keep on hate. Mazafantaz
Mkuu sio kweli kwahiyo daimond yupo juu kushinda wizkid coz jina lake halipo apo hizi figusi mpaka huko ziko unaweza hata toa pesa basi ila wizkid ni next level Africa kwa sasa hamna anayemfikia ila sijui kwa nn wanamuonea sana kwenye masuala ya tuzohaha waulize Mtv wenyewe wanamjua, na hao ndio wanamuziki top Africa nzima
Wewe huwa nakufananisha na kiberenge fulani hivii, amaiziing!!
​hao ndio wasanii wa5 bora africa nzima umeipenda haukuipenda habari ndio hiyo.hatumpigii kelelee kada wa ccm....ngoja wana ccm wenzake waje
Wizkid best in Africa hayupo et daa skendo zinasaidia sana
​hao ndio wasanii wa5 bora africa nzima umeipenda haukuipenda habari ndio hiyo.
hahahahaa.... Hawataki..!!!? Wakajambe mbeleee.
Success keep on pours..