Diamond ameharibu mpaka muziki wa dini

gugumaji

Member
Joined
Oct 25, 2012
Posts
25
Reaction score
19
nimekuwa mdau na mfuatiliaji wa muziki wa kizazi kipya tangu kupevuka lakini katika msanii ambaye kawapiga bao wengi kwa ubunifu huyu sio mwingine ni diamond kiasi kwamba anawafanya chipukizi wote bongo fleva mpaka dini kumuiga hebua angalia video za huyo msanii hapo chini ndio utajua nachosema.....................


http://www.youtube.com/watch?v=CJKCx2DadJc
<iframe width="560" height="315" src="//www.youtube.com/embed/CJKCx2DadJc" frameborder="0" allowfullscreen></iframe>
 
Last edited by a moderator:
Anahusikaje na huo wimbo au umejisikia kuandika tu,kama huna la kuleta humu lala
 
Anahusikaje na huo wimbo au umejisikia kuandika tu,kama huna la kuleta humu lala

we jama umemsikiliza huyo msanii anavyoimba na pozi zake hayo ni madhara ya diamondizim&#8203;
 
Huyo msanii ndio kaamua yeye kuna aliye mlazimisha kufanya hivyo,kaamua chukua swaga bongoflaeva kuzileta kwenye dini,diomond haimbi miziki dini,na cdhani kama diomond ndo designer wa huyo kijana, hakuna mtu anaweza kumharibu mtu unajiharibu mwenyewe wewe mwenye akili timamu.
 
ulitaka amuige nani PDD, AU NELL? muache aige vya nyumbani
 
huyo msanii aliamka na viroba kisha akazamia studio kurekodi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…