"diamond ameiba idea yangu na anatuma watu ili waibe flash yenye huo wimbo"....h.baba

Bwana Mapesa

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2011
Posts
2,551
Reaction score
1,777
Scandal inayohusiana na wimbo mpya wa Diamond ‘Nataka Kulewa’ imeendelea kuchukua sura mpya baada ya H.Baba leo kuuambia mtandao huu kuwa Diamond Platnumz ameanza kutuma watu wake ili waiibe flash yenye wimbo wake (H baba) ili kusiwepo ushahidi.
H_BABA.jpg
“Ninayo kwenye flash lakini siwezi kuiacha sehemu yoyote sababu ameshatengeneza mpaka watu waibe hii flash, yaani sasa ni michongo tu ya ajabu ajabu inaendelea sasa hivi,” amesema.

‘Kwasababu kule studio yaani verse zote zimefutika lakini mimi nilikuwa nayo kwenye flash yaani ile demo nilichukua kwaajili ya kusikiliza nyumbani, studio verse zote zimepotea, huwezi amini.”
Amesema hana lengo la kuuachia wimbo huo lakini atatoa kipande kifupi ili watu wasikie kile anachokisema.

http://bongo5.com/wp-content/uploads/songs/h_baba_kuhusu_kuibiwa_idea_na_diamond.mp3

Msanii huyo anasema Diamond alimkuta kwenye studio ya G Records wakifanya wimbo wenye jina hilo (Nataka Kulewa) ambapo Q-Chief aliimba chorus na Diamond kuusifia sana.
Msikilize zaidi hapa:

huyu nae na kile kiuno badala akaombe kazi twanga anajifanya mwanamuziki hbu muache mtoto wa Sandra huko!
 
shosti negative. Tunataka kila msanii atumie kipaji chake bhana
 
Wameshamfanya almasi mtu wa kutoka nae.Dogo anajipaji yule wewe uza sura utachekwa mjini hapa
 
ate ninayo flash --- haha hivi hawajui kuwa flash inzinguaga na kufa ama inaweka kuingia ma virus na kufuta kila kitu
 
Uyu jamaa inabidi aludi kwao Shinyanga akauze samaki..aya mambo ya hapa mjini hayawezi analazimisha tu..muone kwanza alivyovaa,kama bitoz nyangema.
 
Scandal inayohusiana na wimbo mpya wa Diamond ‘Nataka Kulewa’ imeendelea kuchukua sura mpya baada ya H.Baba leo kuuambia mtandao huu kuwa Diamond Platnumz ameanza kutuma watu wake ili waiibe flash yenye wimbo wake (H baba) ili kusiwepo ushahidi.
View attachment 69979
“Ninayo kwenye flash lakini siwezi kuiacha sehemu yoyote sababu ameshatengeneza mpaka watu waibe hii flash, yaani sasa ni michongo tu ya ajabu ajabu inaendelea sasa hivi,” amesema.

‘Kwasababu kule studio yaani verse zote zimefutika lakini mimi nilikuwa nayo kwenye flash yaani ile demo nilichukua kwaajili ya kusikiliza nyumbani, studio verse zote zimepotea, huwezi amini.”
Amesema hana lengo la kuuachia wimbo huo lakini atatoa kipande kifupi ili watu wasikie kile anachokisema.

http://bongo5.com/wp-content/uploads/songs/h_baba_kuhusu_kuibiwa_idea_na_diamond.mp3

Msanii huyo anasema Diamond alimkuta kwenye studio ya G Records wakifanya wimbo wenye jina hilo (Nataka Kulewa) ambapo Q-Chief aliimba chorus na Diamond kuusifia sana.
Msikilize zaidi hapa:

Amesema hana lengo la kuuachia wimbo huo lakini atatoa kipande kifupi ili watu wasikie kile anachokisema.

Msanii huyo anasema Diamond alimkuta kwenye studio ya G Records wakifanya wimbo wenye jina hilo (Nataka Kulewa) ambapo Q-Chief aliimba chorus na Diamond kuusifia sana.
Msikilize zaidi hapa:
View attachment 69979

Diamond hana lolote zaidi ya kutumia ushikina
 
dimondi sina uhakika kama ni mshirikina au lah!ila kila siku anaongezeka kuwa na chale mwilini sijui zinatoka wapi.
 
Back
Top Bottom