Diamond ametengwa na Media Kuu Tatu nchini... Ila Mungu yupo..

data

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2011
Posts
26,858
Reaction score
23,768
IPP MEDIA

CLOUDS MEDIA GROUP

E MEDIA... FM @ TV

na vimedia taka vingine vinavyofuata mkumbo

Mimi nawaambia. Kwamba Mungu ataendelea kumsimamia na kumuinua kijana huyu.

Wote tunajua historia yake. Mtafeli nyinyi. Mungu awape maisha marefu muendelee shuhudia mafanikio ya JUHUDI.
 
this is not healthy anymore, ingekuwa dhidi ya Ruge peke yake sawa, mi naona apatane na mmoja kati ya hizo ili iwe win-win halafu media nyingine zipoteze, mfano apatane na IPP au aungane nao dhidi ya CMG maana naturally ni washindani hiyo itakuwa na faida kwa pande zote mbili ila kukosana na wakubwa wote sio sahihi kabisa
 
Mimi ni shabiki wa wasanii wa WCB esp Diamond ila ukweli mchungu WCB hadi sasa wameloose sana kwenye hii bifu hasa upande wa hawa wasanii wapya Lavalava na Maromboso, hata hao wakongwe sioni kama wanashow nyingi kama zamani kwa hapa bongo
 
hv huyo dogo aliwafanya nn hao medias mana mi ni msikilizaj zaid wa EA radio ila sijawah sikia nyimbo ya huyo dogo ikipgwa uko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…