Diamond Ametisha!!! Jumba Analolijenga Liko Karibu Kumalizika

Ibrahim300

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2010
Posts
390
Reaction score
68
Diamond kwa mara nyingine ameweza kuonyesha mjengo wa nyumba yake ambayo bado iko jikoni karibu kumalizika.
Kupitia mtandao wake wa Instagram,Diamond ameonyesha mjengo wake sehemu ya swimmingpool huku akiweka maneno ya kuonyesha kuwa watanzania pia wana uwezo wa kujenga majumba kama vile wawezavyo wachina.


Chanzo DIAMOND AMETISHAAA!!! JUMBA LAKE JIPYA KARIBU KUMALIZIKA!!
 
Aisee kutoka manzese uwanja wa fisi mpka uko..Good kijana
 
Naomba kujuzwa,hivi huu mjengo haujakamilika tu?I think utakua zaidi ya ule wa mama Tiba!
 
Haha haaaa,utawaharibia watu Christmas maana Kiba anasemwa alijenga miaka 7 yeye ndomo huu ni wa 4 sasa lakini hawasemi
Achana na masuala ya nyumba ya Chibu kwanza ilishaisha zamani sana na ameikabidhi kwa mama ake... hapa tuongee yetu kwanza, unasemaje... manake bado najiskia kizunguzungu!!!
 
Achana na masuala ya nyumba ya Chibu kwanza ilishaisha zamani sana... hapa tuongee yetu kwanza, unasemaje... manake bado najiskia kizunguzungu!!!

Yetu yepi hayo jamani?
 
Yetu yepi hayo jamani?
Si ya kuhusu maradhi yangu jamani... sihitaji tena huduma ya dokta anayepiga round asubuhi, na akitoka ndo imetoka hiyo hadi asikie nimezidiwa! Nahitaji muuguzi kama wewe mwenye sifa ya kushinda na mgonjwa 24/7... usinitishie nyau tafadhali kwamba eti kuna sindano!
 

Heeee 😱 mimi mbona tayari kuna mgonjwa ninayemuhudumia 24/7?
Siwezi kumuacha hata dakika moja maana nitampoteza na mimi sitaki hilo litokee kabisa!
 
Heeee 😱 mimi mbona tayari kuna mgonjwa ninayemuhudumia 24/7?
Siwezi kumuacha hata dakika moja maana nitampoteza na mimi sitaki hilo litokee kabisa!
We nawee... mambo gani hayo ya kumtishia mgonjwa sindano?! Akikufia utasema nini?Ukisikia nesi fulani ana roho mzuri basi fahamu anahudumia wagonjwa wake wote bila ubaguzi... akimsikia huyu "yallah...!" anakimbia mara moja kwenda kumsikiliza huku akihoji "vipi baba, unataka chungwa au parachichi ...!" akimsikia mwingine wa kitanda cha tatu akitaharuki, "tobaa...!" nesi huyu mwenye roho mzuri wala hanyanyui mkono na kumuonesha sindano, atamwambia tu huyu wa kwanza, kwamba "subiri baba, nakuja mara moja...!"
 

Haha haaaa,unesi wangu mimi nimefunzwa kumhudumia mtu mmoja tu maana najua nitammudu vyema,wengi nitajichanganya badala ya kumchoma huyu sindano nitampa vidonge na mwingine vidonge badala ya sindano......
 
mbona i dont find any foto!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…