Diamond Ametisha!!! Jumba Analolijenga Liko Karibu Kumalizika

Haha haaaa,unesi wangu mimi nimefunzwa kumhudumia mtu mmoja tu maana najua nitammudu vyema,wengi nitajichanganya badala ya kumchoma huyu sindano nitampa vidonge na mwingine vidonge badala ya sindano......
Kwangu bado itakuwa ni fahari tu hata kama utaamua kuyafanya maradhi yangu kwamba ndio practical sample yako... kama ni kujichanganya, we jichanganye tu kwenye kaugonjwa kangu mimi; you know am your practical sample, right?... hata kama ilipaswa kupewa ka-panadol kamoja, we nidunge hata lidozi la wiki mzima la kwinini kwa mara moja... kwangu poa tu!
 

hahahaaaaaa kumbeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…