Diamond amlipua Wema

Nmeipenda ''Mm sio mtu wa kushindana kununua magari maana hatua hyo tayari nmeshaipta nawaza kupga kaz na kutengeneza maisha yangu mapya''
 
Nchi hii!!! Mtu akinunua gari anaandikwa gazetini.
 
CCM badala ya pesa kunuuwa MRI na CT Scan pesa inawahonga malaya kama Wema, nonsense.
 
Mmmh.kweli uchaguzi umeisha tulisaha kuyasoma haya naona sasa yamerudi upyaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…