Mbona mimi nimekulia Manzese uwanja wa Fisi na nimemnunulia mke wangu Gari zaidi ya 2......Kwanza kigari chenyewe Fun-cargo kina namba AYS... used iliyotukuka kama siyo third hand ni 4th hand......si zaidi ya Milioni 3 au 4 maximum>>Pesa ya kawaida sana...MIMI NAICHUKULIA NI PROMO KAMA PROMO NYINGINE TUpengine hazijatolewa jasho hata tone, muwacheniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii aji-enjoy, from living in tandale areas, to be buying people cars!!! :wave:
Si jipya hili gari amenunua kwa mtu ni used kwa hapa bongo kama sikosei ni T ...AYS
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Unajua mchango wewe????
Serikali ingewatengenezea mazingira yanayoelewekwa wala pasingekuwepo na wasanii wakulialia na wala Diamond asingemnunulia gari kama inavyosemekana!!!!
Huyo mzee kaimba miaka mingap kama unafahamu....