Diamond ampa Millioni 15 Haji Manara kwenye Engagement yake

Diamond ampa Millioni 15 Haji Manara kwenye Engagement yake

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,058
Reaction score
14,382
Msanii Diamond platnumz amemzawadia Haji Manara kitita cha Million 15 kwenye usiku wa Engagement party yake iliyofanyika siku ya jana.

ANGALIA VIDEO HAPA

Written by Mjanja M1
Video from WasafiTv
 
Hiyu Mzungu ndiye MC au? Mbona Bwana harusi simwoni wazee?
 
Ikawe heri hongera haji kwa hatua nzuri
 
Wasanii wasikumbukane katika furaha. Wawachangie akina Chiddy, Daz Baba, Ferouz na Rado waweze kusimama. Machizi wanahitaji msaada sana!
 
Wasanii wasikumbukane katika furaha. Wawachangie akina Chiddy, Daz Baba, Ferouz na Rado waweze kusimama. Machizi wanahitaji msaada sana!
Hao ujinga wao wenyewe.

Tena huyo Chidi ndio hasaidiki kabisa.

Manara alitaka kujitolea kumsaidia ila sasa alivyoshushuliwa 🤣🤣🤣🤣🤣
 
na manara akubali; mondi akija kutoka na huyo mke wake asianze kununa
hii ni biashara
 
Msanii Diamond platnumz amemzawadia Haji Manara kitita cha Million 15 kwenye usiku wa Engagement party yake iliyofanyika siku ya jana.

ANGALIA VIDEO HAPA

Written by Mjanja M1
Video from WasafiTv
Keshokutwa utuletee habari ya Diamond kumpiga pumbu huyo slay queen.

Baada ya hapo utuletee na ya kwako kupigwa pumbu na huyo msope
 
Back
Top Bottom