kwanini aliachwa na label ya navy kenzo?Kama ningepata nafasi ya kuongeya na Diamond ningemshauri amshike mkono huyu sister Rosa Ree.
Mimi sio shabiki saana wa huyu dada na wala sio shabiki saana wa nyimbo zake.
Lakini Mara nyingi ninapo kuwa na Anglia reaction songs From Tanzania.
Na kutakana saana na video nyingi za huyu sister kufanyiwa reaction saana Na watu wa mataifa mbali mbali
Ila ukicheki video zake hanaga viewers wengi.
Huyu akipata sapoti kama ambayo wanapata Akina zuchu na wengine anaweza kutoboa zaidi kimataifa
Vannesa Dee naye alikuwa na son fulani za kimataifa hivi
Tatizo la huyu demu kinachomsumbua ni u wanna be wa kutaka kuwa nick minaj yaani anamuiga nick minaji mpaka kero ...atafute staili yake itakayomtambulisha km rosa ree na si vinginevyo.Kama ningepata nafasi ya kuongeya na Diamond ningemshauri amshike mkono huyu sister Rosa Ree.
Mimi sio shabiki saana wa huyu dada na wala sio shabiki saana wa nyimbo zake.
Lakini Mara nyingi ninapo kuwa na Anglia reaction songs From Tanzania.
Na kutakana saana na video nyingi za huyu sister kufanyiwa reaction saana Na watu wa mataifa mbali mbali
Ila ukicheki video zake hanaga viewers wengi.
Huyu akipata sapoti kama ambayo wanapata Akina zuchu na wengine anaweza kutoboa zaidi kimataifa
Vannesa Dee naye alikuwa na son fulani za kimataifa hivi
Minaji, nae kamwiga dabrat, mpaka walikuwa na bif,Mwambieni kwanza aache kumuiga Minaj, wenzie wanakuja na style zao yeye anamuiga minaj wa 2010 huko.
Na kutokana na zarau zake, wamesema hawasaidii mtu mwingine.ROSA REE MUCH KNOW NAVYKENZO NDIO WALIMTOA KWENYE GAME BAADAYE HITSONG MBILI TU AKAANZA KULETA DHARAU WAKAMUACHA
πππππ Halafu baadaye diamond huyo huyo wanamtukana.πHivi Tanzania mwanamziki pekee wa kushika wenzie ni diamond peke ake?
Anaimba nyimbo za kigumj sana anatakiwa abadilike